Friday 28 August 2015

Nani Kuhamia Ukawa/Chadema Kesho- Kingunge na Serukamba?

Jamani kesho kwa kutumia haki yao ya kidemokrasia kuna watanzania wenzetu watahama kutoka CCM kwenda UKAWA/CHADEMA. Kwenye list hiyo, nawaona Kingunge Ngombale Mwiru na Peter Serukamba ni watu ambao kimwili wako CCM lakini kifikra wako UKAWA. Sio vibaya ‘kuspeculate’ kwani siasa zetu za ovyo ovyo ndio zimetufikisha hapa. Kwa wale wenye taarifa za ‘chumbani’ si vibaya mkaanza kuwatayarishia waandishi wa habari vichwa vya habari vya kesho kwa kutujuza.

By Kengete.com

from Blogger http://ift.tt/1Uhhpxm
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1EoX2N3

No comments:

Post a Comment