Wednesday 12 August 2015

MAJIMBO MATANO KURUDIA KURA ZA MAONI

Nape Nnauye akizungumza kwenye moja ya mikutano na waandishi wa habari
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CC) imeagiza kurudiwa kwa uchaguzi katika majimbo matano kutokana na dosari mbalimbali zilizojitokeza katika mchakato wa kura ya maoni.
Majimbo hayo ni Makete,Busega,Ukonga,Rufiji na Kilolo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye amesema mchakato huo utarudiwa siku ya alhamisi Agosti 13.

from Blogger http://ift.tt/1JaLnmK
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1L4ztLE

No comments:

Post a Comment