ZAIDI ya asilimia 20 mpaka 30 ya mavuno ya viazi kwa gunia moja ndani ya msimu huwa ni hasara kwa mkulima kutokana na Lumbesa ambazo huwa zinafungaswa vijijini ambako wafanyabiashara wananunua viazi mkoani Njombe huku mkoani Iringa wafanyabiashara wakibuni mbinu mpya ya kushona magunia na kuweka katoto.
Wakulima wanasema kuwa hasara wanayo ipata ni kubwa kutona na ufungashaji wa viazi kwa kuzaza Lumbesa na kushindwa kufanya shughuli za maendeleo.
Hali hiyo inasukuma watafiti kufanya utafiti wa hasara kiasigani anipata mkulima kwa kuuza mazao yake kwa Lumbesa.
Wakuu wa wilaya zinazo lima viazi za mikoa ya Njombe na Iringa wanasema kuwa serikali itaendelea kupambana na Lumbesa kila Mara kwa kutafuta masuruhisho.
Zao la viazi limekuwa likinunuliwa kwa lumbesa maranyingi tofauti na mazao mengine lakini sokoni huuzwa kwa vipimo vya uzito kitu kinacho mtia hasara mkulima na kumpa pato kubwa mfanya biashara.
HII NDIO HASARA YA LUMBESA KWA WAKULIMA TAZAMA VIDEO HAPA…….
from Blogger http://ift.tt/2shoLM3
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2rxCcu7
No comments:
Post a Comment