“Mimi na Wema ni kazi tu. Hakuna kitu cha tofauti ambacho tulikifanya au tulikianzisha tukiwa location kwa sababu mpenzi wake alikuwa anakuja nae mara zote ambazo tulikuwa tuna shoot. vipande vyote alikuwa na sisi bega kwa bega sasa hata kama ni hayo mahusiano tungeyaanzisha muda gani? Watu wasifikiri tofauti kwani ukaribu wangu na Wema Sepetu umezalisha filamu ya Kisogo ambayo tunaamini watanzania wataifurahia” alisema Gabo
“Nimejitolea kuitetea sanaa, nitafanya kile ambacho jamii inahitaji. kwa sasa nimefanya filamu fupi zinazohitajika na jamii yaani fupi na zinazoeleweka. Filamu hizi zitakuwa zina dakika 30 tu. Ni bora kuhangaika kuboresha soko la ndani la filamu kuliko kuwaza kwenda kimataifa, nitaitetea sana nahua na yenyewe itanitetea siku moja” Gabo aliongeza.
from Blogger http://ift.tt/2sm0uV1
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2tyZhca
No comments:
Post a Comment