Somo la Sayansi huchukuliwa na wengi kama somo gumu hususan kwa wasichana.
Hata hivyo Susan Murabana kutoka Kenya ameanza mradi wa kuwafunza wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kama njia ya kuwafanya wapende somo hilo.
Kupitia kwa mradi wake wa ‘Travelling Telescope’, Susan amekuwa akitembelea shule mbalimbali, Afrika mashariki, kama anavyoarifu Anthony Irungu.
from Blogger http://ift.tt/2mycz5I
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2mycQpm
No comments:
Post a Comment