Maumivu ya meno huwa makali sana na huweza kukusababisha hata kushindwa kufanya kazi nyingine endapo yatakuwa ya muda mrefu.
Mbaya zaidi unaweza usilale kabisa endapo utapatwa na maumivu ya jino usiku kama hauna uvumilivu unaweza kutoka usiku huo huo na kukimbia hospitali kwenda kung’oa.
Hata hivyo, hapa ninayo orodha za vyakula na viungo ambavyo huweza kusaidia kupambana na matatizo ya meno.
Jino linalouma au fizi zilizovimba: Ponda ponda tangawizi mbichi kisha itie chumvi. Weka kwenye jino linalouma au fizi ilipovimba.
Saga majani makavu ya ‘mint’ kutengeneza unga wake, kisha tia chumvi na weka kwenye jino linalouma.
Saga karafuu kuwa unga. Weka kiasi cha unga huo kwenye jino linalouma. Pia kama una mafuta ya karafuu, chukua nyuzi za pamba (cotton wool) chovya kwenye mafuta hayo na weka pamba hiyo kwenye jino linalouma.
Tiba hizi tunazo majumbani kwetu tunamoishi lakini tumekuwa hatujui kuwa ni tiba, badala yake huwa tunakimbilia kung’oa meno yanayouma.
TAZAMA HARMORAPA ALIVYO TIMUA MBIO BAADA YA KUIONA BASTOLA
from Blogger http://ift.tt/2n6C7XV
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2nT3TLm
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2n5AGIF
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2n5gXZC
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2nX5hNn
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2n5QX09
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2nkQMjb
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2n6mhvE
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2n6yD6Y
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2okZIEv
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2nXRFBv
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2mH5Dr1
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2n9bkKp
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2mHBeZQ
No comments:
Post a Comment