Wednesday, 20 January 2016

Rais Dr. Magufuli Amsimamisha kamishna wa Uhamiaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja   ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi karibuni.http://ift.tt/1Uc8X3R

from Blogger http://ift.tt/1PFIUhu
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1ZN87RS

No comments:

Post a Comment