Wednesday 11 November 2015

Wizara Nane Kufutwa Zingine Kuunganishwa Kuwa Moja Kupunguza Gharama


Kutoka magazetini.
Imefahamika kuwa rais Magufuli ameamua kupunguza ukubwa wa serikali yake kwa kufuta wizara 8 kati ya wizara 28 zilizokuwepo, habari haijataja ni wizara zipi zitakazopunguzwa.

from Blogger http://ift.tt/1Qt1Y6M
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1kKNqmG

No comments:

Post a Comment