Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF) ,Dr.Suma Kaare akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Mkurugenzi wa Shirika la Haki kazi Catalyst Alais Moridant akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini
Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka
wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Mkurugenzi wa Shirika la AWF ,John Salehe
akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini
Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka
wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini

Viongozi mbalimbali wa jumuiko la maliasili wakiwa katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini
Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka
wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini
Arusha wakiwa katika picha ya pamoja, ,mkutano huo ulihudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka
wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini
Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka
wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini
Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka
wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Mwakilishi wa Shirika la WWF ,Sware Semesi akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini
Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka
wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Washiriki wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini
Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka
wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
Wasemaji Wakuu wa mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili uliofanyika jijini
Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka
wizara ya maliasili.Picha na Gadiola Emmanuel
wa Jumuiko la Maliasili nchini Dr.Suma Kaare amemtaka Raisi John Pombe Magufuli
adhibiti upotevu wa mali asili za wanyama pori na misitu uliokithiri katika
maeneo mengi nchini ili kunusuru uhai wa maliasili.
amesema hayo katika mkutano wa 7 wa
jumuiko la maliasili unaoendelea jijini
Arusha,Kaare amesema kuwa jukwaa hilo litashirikiana na Rais huyo katika kuhakikisha kuwa maliasili zinalindwa na
kuwanufaisha Watanzania kwa kiwango stahiki.
Rais wetu mpya ana kazi kubwa ya kulinda maliasili za nchi hii kama ilivyo
kauli mbiu yake ya “kazi tu” tunaamini atazuia upotevu mkubwa wa rasilimali
unaofanywa na watendaji wasio waaminifu” Alisema Kaare
Masuala ya misitu katika shirika la uhifadhi wa maliasili na Mazingira (wwf)
,Isaac Malungu amesema kuwa asilimia 90% ya nishati inayotumika nchini
inatokana na kuni pamoja na mkaa hali ambayo inaathiri misitu na kutishia uhai
wa maliasili nchini hivyo ameitaka serikali ihimize matumizi ya nishati mbadala
ili kunusuru mazingira yanaoharibiwa kila kukicha.
kuwa kilimo cha kuhama hama pamoja na ukataji miti ovyo umekua ukisababisha
uharibifu wa mazingira na hata kupelekea hecta laki 4 za misitu kupotea kila
mwaka kutokana na shughuli hizo.
wa Shirika la AWF,John Salehe Alisema
kuwa mabadiliko ya tabia ya nchi yamesababisha hali ya ukame inayowaathiri
wanyama pamoja na mimea hivyo kuathiri uhifadhi kwa ujumla .
alisema kuwa juhudi zaidi zinapaswa kuchukuliwa ikiwemo upandaji wa miti pamoja
na kutunza misitu ili kurejesha uoto wa asili uliopotea.
from Blogger http://ift.tt/1WEZAcM
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1WF1RVq
No comments:
Post a Comment