Monday, 16 November 2015

ANKAL ALSELFIKA NA WADAU WA TAASISI YA SANAA BAGAMOYO, AFANYA UTALII WA NDANI




 Ankal alipohudhuria mahafali ya mjomba wake katika Chuo cha Ukutubi cha Bagamoyo kilichopo eneo la Ukuni  mkoa wa Pwani alibahatika kukutana na wadau wake wakubwa akiwem0 mwalimu wa sanaa katika Taasisi ya Sanaa Bagamoyo (TASUBA) na kupata nao selfie kwa kila staili. Amewaahidi kuwatembelea chuoni na kubadilishana nao uzoefu  katika fani ya upigaji picha na mbinu zingine za kupata picha nzuri
 Ankal na wadau wa TASUBA wakila Selfie
Selfie ya chini
 Air Force One ikiwa imetia nanga katika ufukwe wa Bagamoyo. Ankal akaomba na kukuba

from Blogger http://ift.tt/1j2vjYm
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1HNkuVL

No comments:

Post a Comment