Thursday, 22 October 2015

Hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa ZSTC, Chakechake, Pemba


 MKURUGENZI Mwendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ZSTC, Mwanahija Almasi Ali, akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa shirika hilo Pemba, sambamba na Waziri na Naibu waziri wa Wizara ya Biashara na Viwanda na Masoko kuagana na wafanyakazi hao, hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 MWENYEKITI wa Bodi ya ZSTC, Zanzibar Kassim Maalimu Suleiman akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa shirika hilo Pemba, sambamba na Waziri na Naibu waziri wa Wizara ya Biashara na viwanda kuagana na wafanyakazi hao, hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).


 NAIBU Waziri wa Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe: Thuwaba Edngton Kisasi, akizungumza kwenye hafla ya kuwaaga wafanyakazi wastaafu wa shirika hilo Pemba, sambamba na Waziri na yeye mwenyewe kuagana na wafanyakazi hao, hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).


 BAADHI ya wafanyakazi wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ZSTC walioko Pemba, wakimsikiliza Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe: Nassor Ahmed Mazurui, wakati akizungumza nao, kwenye hafla ya kuagana nao iliofanyika Ukumbi wa Kiwanda cha makonyo Wawi Chake chake kisiwani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 WAZIRI wa Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe: Nassor Ahmed Mazurui, akimkabidhi zawadi mmoja katia ya waliokuwa wafanyakazi wa Shirika la ZSTC, Pemba kwenye hafla ya kuagana na wafanyakazi hao, hafla hiyo ilifanyika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

PICHA ya pamoja iliojumuisha uongozi wa Wizara ya Viwanda na Masoko ikiongozwa na waziri wa wizara hiyo (alievaa miwani na suti nyeupe) pamoja na waliokuwa wajumbe wa Bodi ya ZSTC na wafanyakazi wa wastaafu wa shirika hilo Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

from Blogger http://ift.tt/1GiL3Sj
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1ksi58z

No comments:

Post a Comment