Wednesday 30 September 2015

Waafrika Wakutana Ujerumani Kuchangia na Kuombea Amani Senegali

Tokea mwaka 1982, serikali ya Senegali imekuwa ikipambana na Kundi la Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC), ambalo linapigania haki ya eneo la Casamance kujitenga, baada ya serikali kuu kushindwa kuzisimamia rasilimali za eneo hilo kwa usawa. Hizi ni harakati ambazo zimeshapoteza maisha ya Wasenegali wengi, na kwa bahati nzuri makubaliano ya kusitisha mapigano (Unilateral Ceasefire) yalifikiwa Mei 1, 2014. Pamoja na hilo, watu wengi wa eneo hilo bado wanahitaji msaada wa hali na mali. Hivyo basi, Waafrika walikutana mjini Tuebingen, Ujerumani na kufanya tamasha, ambalo lilikuwa na kusudio la kuelimisha na kukusanya pesa kwa ajili wa wahanga wa vita hivi. Baadhi ya picha kama zilivyonaswa na Thehabari zinaonekana hapo chini.
Mmoja wa vijana wa Kiafika, ambaye alitoa burudani kali ya kucheza miziki ya Kiafrika.
Mmoja wa vijana wa Kiafika, ambaye alitoa burudani kali ya kucheza miziki ya Kiafrika.
Kijana akiendelea kutoa dozi.
Kijana akiendelea kutoa dozi.
Binti nae kutoka Senegali alimuunga mkono kijana katika suala zima la kuendeleza burudani.
Binti nae kutoka Senegali alimuunga mkono kijana katika suala zima la kuendeleza burudani.
Muandaaji wa tamasha hilo, ndg. Ali kutoka Senegali, ambaye ni mtaalam wa kupiga ngoma za Kiafrika, nae hakusita kutoa burudani hiyo adimu ughaibuni.
Muandaaji wa tamasha hilo, ndg. Ali kutoka Senegali, ambaye ni mtaalam wa kupiga ngoma za Kiafrika, nae hakusita kutoa burudani hiyo adimu ughaibuni.
vijana wa Ali wakimsaidia kupiga ngoma....
vijana wa Ali wakimsaidia kupiga ngoma….
Warembo kutoka Afrika pia walikuwepo, na walifurahi.
bintiiiii.....
Mrembo kutoka Senegali akitoa dozi….
anaendelea.....
anaendelea…..
Ali wa Senegali akiwa amepozi na mrembo kutoka Kenya.
Ali wa Senegali akiwa amepozi na mrembo kutoka Kenya.
Rungwe Jr. wa Tanzania nae hakutana kupitwa na jirani yake wa Kenya.
Rungwe Jr. wa Tanzania nae hakutana kupitwa na jirani yake wa Kenya.
dozi iliendelea....
dozi iliendelea….
doziiii...
doziiii…
mhhhh, ilikuwa si mchezo...
mhhhh, ilikuwa si mchezo…
Taarifa zaidi za maswahibu ya Casamance yanapatikana hapa 

from Blogger http://ift.tt/1M17Aza
via IFTTT

from WordPress http://ift.tt/1JBYJSJ

No comments:

Post a Comment