Tuesday, 25 August 2015

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 25/08/2015.
[Maeneo ya miinuko ya Mikoa
ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es
Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kagera na Mara]:
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo
katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara,
Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora
Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Mwanza, Shinyanga
na Geita]:
[Mikoa ya Katavi, Mbeya,
Iringa, Njombe na Rukwa]:
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango
cha juu cha joto
Kiwango
cha chini cha joto
Mawio
(Saa)
Machweo
(Saa)
ARUSHA
26°C
14°C
12:38
12:37
D’SALAAM
30°C
20°C
12:30
12:22
DODOMA
28°C
15°C
12:43
12:37
KIGOMA           
33°C
18°C
01:06
01:02
MBEYA
23°C
06°C
12:55
12:43
IRINGA
25°C
14°C
12:48
12:34
MWANZA
29°C
20°C
12:51
12:51
TABORA
29°C
16°C
12:54
12:50
TANGA
28°C
22°C
12:29
12:25
ZANZIBAR
30°C
22°C
12:30
12:22
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km
30 kwa saa kwa Pwani
yote.
Hali ya
bahari:
Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Alhamisi:
27/08/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 25/08/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

from Blogger http://ift.tt/1MRiJbd
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1WQjODw

No comments:

Post a Comment