WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/08/2015.
|
[Mikoa ya Mara na Kagera]:
|
Hali ya Mawingu kiasi,
ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua. |
|
|
[Mikoa ya Shinyanga,
Kilimanjaro, Arusha na Manyara]: [Mikoa ya Katavi, Mbeya,
Kigoma, Tabora na Rukwa]: [Mikoa ya Mtwara, Lindi, Iringa,
Njombe na Ruvuma]: [Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Singida
na Morogoro]: [Mikoa ya Geita, Tanga, Dar
es Salaam na Pwani]: [Visiwa vya Unguja na
Pemba]: |
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua. |
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
YA MIJI HAPA NCHINI:
|
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto |
Kiwango
cha chini cha joto |
Mawio
(Saa) |
Machweo
(Saa) |
|
ARUSHA
|
26°C
|
13°C
|
12:40
|
12:38
|
|
D’SALAAM
|
32°C
|
20°C
|
12:33
|
12:21
|
|
DODOMA
|
28°C
|
16°C
|
12:46
|
12:37
|
|
KIGOMA
|
31°C
|
18°C
|
01:09
|
01:02
|
|
MBEYA
|
23°C
|
06°C
|
12:58
|
12:42
|
|
IRINGA
|
27°C
|
13°C
|
12:48
|
12:34
|
|
MWANZA
|
30°C
|
19°C
|
12:53
|
12:52
|
|
TABORA
|
32°C
|
17°C
|
12:57
|
12:50
|
TANGA |
29°C
|
20°C
|
12:32
|
12:25
|
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
23°C
|
12:33
|
12:21
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km 20 kwa saa kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
ya km 20 kwa saa kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
21/08/2015: Mabadiliko kidogo.
21/08/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 19/08/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
from Blogger http://ift.tt/1PnACw2
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/1E62bJP
No comments:
Post a Comment