Saturday, 6 May 2017

#BREAKINGNEWS Basi lililobeba wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent Lapata Ajali na Kuuwa

Basi aina ya Toyota Coaster lililobeba wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ya Arusha limetumbukia bondeni Karatu. 
Zaidi ya watoto 20 na waalimu wanahofiwa kufa. 
Walikuwa wakienda tour kwenye hifadhi ya Ngorongoro. 
Ni ajali kubwa na mbaya kuwahi kutokea tangu ya miaka 7 iliyopita. 
Pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza watu wao katika ajali hii mbaya, Mungu azilaze roho za marehemu pepon

from Blogger http://ift.tt/2qDabjv
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2pkegoB

No comments:

Post a Comment