Saturday, 15 August 2015

ANGALIA PICHA ZAIDI YA 40- JINSI LOWASSA ALIVYOKUSANYA MAELFU YA WATU MBEYA MJINI LEO



Umati wa wakazi wa Mbeya wakimsikiliza mgombea wa urais Tanzania kupitia Ukawa mheshimiwa Edward Lowassa 





Vijana nao hawakuwa nyuma


Bibi naye alijitokeza.


Ujumbe kwenye Bajaji


Ulinzi ukiwa umeimarishwa vizuri


Mgombea na mgombea mwenza wakiwa wamewasili uwanja wa ndege wa Songwe


Msafara wa CHADEMA

by Malunde 1




from Blogger http://ift.tt/1Nvk6t3

via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/1Kmra8q

No comments:

Post a Comment